Ufafanuzi wa sebeha katika Kiswahili

sebeha

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    kula au kunywa kitu asubuhi kwa mara ya kwanza baada ya kuamka; fungua kinywa.

    staftahi

Asili

Kar

Matamshi

sebeha

/sɛbɛha/