Ufafanuzi msingi wa sefu katika Kiswahili

: sefu1sefu2

sefu1

nominoPlural masefu, Plural sefu

  • 1

    kabati lililotengenezwa kwa chuma na linalotumiwa kuwekea vitu vya thamani k.v. pesa au vito vya thamani.

Asili

Kng

Matamshi

sefu

/sɛfu/

Ufafanuzi msingi wa sefu katika Kiswahili

: sefu1sefu2

sefu2

nominoPlural masefu, Plural sefu

kishairi

Asili

Kar

Matamshi

sefu

/sɛfu/