Ufafanuzi wa sefule! katika Kiswahili

sefule!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha dharau au kuchukiwa na yule anayeambiwa, hasa mtoto.

    ‘Ondoka mbele yangu sefule’

Asili

Kar

Matamshi

sefule!

/sɛfulɛ/