Ufafanuzi wa sekeneka katika Kiswahili

sekeneka

kitenzi sielekezi~ea, ~esha

  • 1

    patwa na ugonjwa wa sekeneko.

Matamshi

sekeneka

/sɛkɛnɛka/