Ufafanuzi wa sekretarieti katika Kiswahili

sekretarieti

nominoPlural sekretarieti

  • 1

    ofisi, kitengo au idara ya utawala ya kudumu au ya muda katika serikali, shirika la kimataifa au chama cha siasa, inayoendesha shughuli zake za kila siku au shughuli maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

sekretarieti

/sɛkrɛtariɛti/