Ufafanuzi wa sekta katika Kiswahili

sekta

nominoPlural sekta

  • 1

    mchepuo mmojawapo katika shughuli za kijamii k.v. uchumi.

    ‘Taifa linafanya juhudi kubwa kuinua sekta za kilimo, mawasiliano, n.k.’

Asili

Kng

Matamshi

sekta

/sɛkta/