Ufafanuzi wa sekua katika Kiswahili

sekua

kitenzi elekezi

  • 1

    ng’oa kitu kwa nguvu k.v. mmea pamoja na mizizi yake.

Matamshi

sekua

/sɛkuwa/