Ufafanuzi wa sekunde katika Kiswahili

sekunde

nominoPlural sekunde

  • 1

    moja ya sitini ya dakika.

    nukta

Asili

Kng

Matamshi

sekunde

/sɛkundɛ/