Ufafanuzi wa selea katika Kiswahili

selea, selelea

kitenzi sielekezi

  • 1

    ishi mahali kwa muda mrefu bila ya kuondoka.

  • 2

    china, dorora, doda, lowea