Ufafanuzi msingi wa seli katika Kiswahili

: seli1seli2seli3

seli1

nomino

 • 1

  uuzaji wa bidhaa k.v. dukani, kwa bei ya chini kuliko bei yake ya kawaida.

  ‘Leo kuna seli’

Asili

Kng

Matamshi

seli

/sɛli/

Ufafanuzi msingi wa seli katika Kiswahili

: seli1seli2seli3

seli2

nomino

 • 1

  chumba cha mfungwa au mahabusu katika gereza au kituo cha polisi.

Asili

Kng

Matamshi

seli

/sɛli/

Ufafanuzi msingi wa seli katika Kiswahili

: seli1seli2seli3

seli3

nomino

 • 1

  chembe ndogo kabisa ya kiumbe na yenye uhai.

Asili

Kng

Matamshi

seli

/sɛli/