Ufafanuzi wa sema katika Kiswahili

sema

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  tamka maneno.

  nena, amba, tamka, honga, ongea, kuli, taja, dhukuru, eleza, taarifu

 • 2

  tolea mtu maneno makali au ya nasaha.

 • 3

  sengenya, teta, amba

Matamshi

sema

/sɛma/