Ufafanuzi wa sembuse katika Kiswahili

sembuse

kielezi

  • 1

    neno linalotumika kulinganishia vitu, mambo au watu wawili au zaidi katika kutaka kuonyesha tofauti iliyoko.

    ‘Kaka yako alishindwa, sembuse wewe!’
    kefu, kaifa, fakaifa, seuze

Matamshi

sembuse

/sɛmbusɛ/