Ufafanuzi wa semesha katika Kiswahili

semesha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu azungumze.

  • 2

    sema na.

Matamshi

semesha

/sɛmɛ∫a/