Ufafanuzi wa semina katika Kiswahili

semina

nominoPlural semina

  • 1

    mkutano wa kikundi cha watu wanaojifunza au kushughulikia jambo maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

semina

/sɛmina/