Ufafanuzi msingi wa senene katika Kiswahili

: senene1senene2

senene1

nominoPlural senene

  • 1

    panzi wa rangi ya kijani au kahawia ambao hutumika kuwa ni kitoweo.

Matamshi

senene

/sɛnɛnɛ/

Ufafanuzi msingi wa senene katika Kiswahili

: senene1senene2

senene2

nominoPlural senene

  • 1

    hali ya mtu kuendelea kuishi katika maradhi ya siku nyingi.

Matamshi

senene

/sɛnɛnɛ/