Ufafanuzi wa seneti katika Kiswahili

seneti

nominoPlural seneti

  • 1

    bunge la seneti, Kenya.

  • 2

    Bunge la Juu la Marekani.

  • 3

    kikao kikuu kimojawapo katika chuo kikuu kinachotoa au kuidhinisha uamuzi wa shughuli za chuo.

Asili

Kng

Matamshi

seneti

/sɛnɛti/