Ufafanuzi wa sengenya katika Kiswahili

sengenya

kitenzi elekezi

  • 1

    sema mtu kwa ubaya wakati hayupo.

    sema, teta, amba

Matamshi

sengenya

/sɛngɛɲa/