Ufafanuzi wa senti katika Kiswahili

senti

nominoPlural senti

  • 1

    sarafu yenye thamani ya asilimia moja ya shilingi.

    ‘Shilingi moja ni senti mia’
    pesa, fulusi

Asili

Kng

Matamshi

senti

/sɛnti/