Ufafanuzi wa sepetuka katika Kiswahili

sepetuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    taka kuanguka bila ya kujua k.v. kwa ajili ya ulevi au ugonjwa.

    pepesuka, serereka, teleza

Matamshi

sepetuka

/sɛpɛtuka/