Ufafanuzi msingi wa sera katika Kiswahili

: sera1sera2sera3

sera1

nominoPlural sera

 • 1

  ukuta uliojengwa ili kulinda sehemu fulani.

  ngome, boma, buruji

Asili

Kar

Matamshi

sera

/sɛra/

Ufafanuzi msingi wa sera katika Kiswahili

: sera1sera2sera3

sera2

nominoPlural sera

 • 1

  nta inayotokana na sega la nyuki.

Matamshi

sera

/sɛra/

Ufafanuzi msingi wa sera katika Kiswahili

: sera1sera2sera3

sera3

nominoPlural sera

 • 1

  mwenendo au tabia ya mtu kutokana na namna anavyoyapeleka maisha yake.

  ‘Fuata sera nzuri ya baba yako’

 • 2

  utaratibu wa kuendesha jambo ili kukidhi haja za serikali, chama, dini, shirika, n.k..

  ‘Sera ya Taifa ya Malezi ya Watoto’

Asili

Kar

Matamshi

sera

/sɛra/