Ufafanuzi wa seredani katika Kiswahili

seredani

nomino

  • 1

    jiko la makaa.

  • 2

    chombo kinachotiwa makaa na kuwekwa juu yake birika au dele la kahawa.

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

seredani

/sɛrɛdani/