Ufafanuzi wa serena katika Kiswahili

serena

nominoPlural serena

  • 1

    mtama mfupi unaokomaa kwa muda mfupi wenye mbegu zenye ganda jeupe au jekundu.

Matamshi

serena

/sɛrɛna/