Ufafanuzi wa seta katika Kiswahili

seta

kitenzi elekezi

  • 1

    vunja kitu na kuwa vipande vidogovidogo.

    ponda, saga, twanga

  • 2

    changanya pamoja nafaka mbalimbali katika upishi.

Matamshi

seta

/sɛta/