Ufafanuzi msingi wa seti katika Kiswahili

: seti1seti2seti3

seti1

nomino

  • 1

    karata ya kuchezea yenye nambari saba katika mchezo maalumu wa wahedi wa sitini.

    jike

Asili

Kfa

Matamshi

seti

/sɛti/

Ufafanuzi msingi wa seti katika Kiswahili

: seti1seti2seti3

seti2

nomino

  • 1

    mpango unaotumika katika hesabu kugawa vitu katika mafungu mbalimbali yanayofanana.

Asili

Kng

Matamshi

seti

/sɛti/

Ufafanuzi msingi wa seti katika Kiswahili

: seti1seti2seti3

seti3

nomino

  • 1

    fungu la vifaa au vitu vya aina moja vinavyohusiana katika kukamilisha shughuli.

Asili

Kng

Matamshi

seti

/sɛti/