Ufafanuzi wa seva katika Kiswahili

seva, sava

nominoPlural seva

  • 1

    kompyuta kuu au programu ya kompyuta inayotoa huduma kwa au kudhibiti kompyuta nyingine zilizounganishwa kwenye mtandao.

Asili

Kng

Matamshi

seva

/sɛva/