Ufafanuzi wa shaa katika Kiswahili

shaa

nomino

  • 1

    sehemu ya ndani ya kilele cha mnazi, iliyo laini.

Matamshi

shaa

/∫a:/