Ufafanuzi wa Shaabani katika Kiswahili

Shaabani

nomino

  • 1

    Kidini
    mwezi wa nane katika kalenda ya Uislamu.

  • 2

    mwezi mmoja kabla ya Ramadhani.

Asili

Kar

Matamshi

Shaabani

/∫a:bani/