Ufafanuzi wa shaba katika Kiswahili

shaba

nominoPlural shaba

  • 1

    madini yenye rangi nyekundunyekundu au nyeupe ambayo hung’aa yanaposuguliwa na ambayo hutumiwa kutengenezea vyombo mbalimbali k.v. nyaya za umeme.

Asili

Kar

Matamshi

shaba

/∫aba/