Ufafanuzi wa shabihi katika Kiswahili

shabihi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanana na.

    ‘Amemshabihi sana ndugu yangu’
    landa

Asili

Kar

Matamshi

shabihi

/∫abihi/