Ufafanuzi msingi wa shadidi katika Kiswahili

: shadidi1shadidi2

shadidi1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  fanya kuwa imara au madhubuti.

 • 2

  shikilia jambo kwa nguvu.

Asili

Kar

Matamshi

shadidi

/∫adidi/

Ufafanuzi msingi wa shadidi katika Kiswahili

: shadidi1shadidi2

shadidi2

kielezi

 • 1

  -liyo kali.

  ‘Leo kuna baridi shadidi’

Matamshi

shadidi

/∫adidi/