Ufafanuzi wa shaghalabaghala katika Kiswahili

shaghalabaghala

kielezi

  • 1

    bila ya mpango maalumu.

    ‘Anajifanyia mambo shaghalabaghala’
    shelabela, ovyo, ovyoovyo, segemnege

Asili

Khi/Kar

Matamshi

shaghalabaghala

/∫aɚalabaɚala/