Ufafanuzi wa shahamu katika Kiswahili

shahamu

nominoPlural shahamu

  • 1

    mafuta ya mnyama au samaki ambayo agh. hutengenezwa sifa ya kupaka katika chombo cha baharini au kwenye mbao ili kuziimarisha na kuzuia kuliwa na wadudu.

    futa

  • 2

    mafuta yanayopatikana kwenye nyama iliyonona.

    futa, mafuta

Asili

Kar

Matamshi

shahamu

/∫ahamu/