Ufafanuzi wa shahari katika Kiswahili

shahari

nominoPlural shahari

  • 1

    kishairi muda wa siku zisizopungua 28 na zisizozidi 31.

  • 2

    mwezi.

Asili

Kar

Matamshi

shahari

/∫ahari/