Ufafanuzi wa shahawa katika Kiswahili

shahawa

nomino

  • 1

    majimaji yenye mbegu za uzazi yatokayo katika uume.

    manii

Asili

Kar

Matamshi

shahawa

/∫ahawa/