Ufafanuzi wa shahidi katika Kiswahili

shahidi

nomino

  • 1

    mtu aliyeona au kusikia tukio fulani yeye mwenyewe, agh. huitwa katika mahakama ili kueleza kuona kwake au kusikia tukio fulani ili kupatikana hakika.

Asili

Kar

Matamshi

shahidi

/∫ahidi/