Ufafanuzi wa shahiri katika Kiswahili

shahiri

kielezi

  • 1

    neno la kusisitiza utendaji jambo kwa wazi.

    ‘Siku hizi haogopi tena wazazi wake, analewa dhahiri shahiri’

Asili

Kar

Matamshi

shahiri

/∫ahiri/