Ufafanuzi msingi wa shajara katika Kiswahili

: shajara1shajara2

shajara1

nominoPlural shajara

  • 1

    mfumo unaoonyesha uhusiano wa kuzaliwa kwa familia au ukoo mzima; mtungo wa nasaba.

Asili

Kar

Matamshi

shajara

/∫aʄara/

Ufafanuzi msingi wa shajara katika Kiswahili

: shajara1shajara2

shajara2

nominoPlural shajara

  • 1

    kitabu kiandikwacho kumbukumbu za matukio ya mambo ya kila siku.

Matamshi

shajara

/∫aʄara/