Ufafanuzi wa shakii katika Kiswahili

shakii

kivumishi

  • 1

    -enye ushujaa; -enye tabia ya kutoogopa.

  • 2

    -enye tabia mbaya.

    potevu

Matamshi

shakii

/∫aki:/