Ufafanuzi wa shakiri katika Kiswahili

shakiri

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    tosheka k.v. kwa kula chakula mpaka kushiba au kwa ukarimu anaofanyiwa mtu.

    ‘Nimekula nimeshakiri’
    tosheka

Asili

Kar

Matamshi

shakiri

/∫akiri/