Ufafanuzi wa shakwe katika Kiswahili

shakwe

nomino

  • 1

    ndege mkubwa kiasi anayeishi kandokando ya maji k.v. maziwa, mto na bahari, ana midomo mirefu kiasi na miguu mirefu kiasi yenye vidole vitatu vya mbele vinavyoungana kama vya bata, ana kichwa cha rangi nyeusi na kijivu.

Matamshi

shakwe

/∫akwɛ/