Ufafanuzi wa shalaka katika Kiswahili

shalaka

nominoPlural shalaka

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  tundu la kishwara au kileti.

  kishwara

 • 2

  Kibaharia
  kamba ya kuzuia ayari.

Asili

Kar

Matamshi

shalaka

/∫alaka/