Ufafanuzi msingi wa shaliki katika Kiswahili

: shaliki1shaliki2

shaliki1 , shakili

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tengeneza kitu kilichoharibika ili kipate kufanya kazi tena.

    bambanya, pashia

Asili

Kar

Matamshi

shaliki

/∫aliki/

Ufafanuzi msingi wa shaliki katika Kiswahili

: shaliki1shaliki2

shaliki2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    piga makasia.

Asili

Kar

Matamshi

shaliki

/∫aliki/