Ufafanuzi wa shamba katika Kiswahili

shamba

nominoPlural mashamba

  • 1

    sehemu kubwa ya ardhi iliyolimwa au itakayopandwa mimea.

    mgunda, konde

  • 2

    eneo la ardhi lililoko nje ya mji.

Matamshi

shamba

/∫amba/