Ufafanuzi wa shamla katika Kiswahili

shamla

nominoPlural shamla

  • 1

    kundi la watu waliokusanyika kwa ajili ya shughuli fulani maalumu k.v. mkutano wa hadhara au ngoma.

Matamshi

shamla

/∫amla/