Ufafanuzi wa sharafa katika Kiswahili

sharafa

nominoPlural masharafa

  • 1

    nywele zinazoota kuanzia karibu na masikio mpaka kwenye mashavu.

Asili

Kar

Matamshi

sharafa

/∫arafa/