Ufafanuzi msingi wa sharifu katika Kiswahili

: sharifu1sharifu2

sharifu1

nominoPlural masharifu

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu anayetokana na mtoto wa kike wa Mtume Muhammad (s.a.w.) (Bi Fatma) na Seyyidna Ali.

  • 2

    Kidini
    mtu aliyetokana na ujukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w.).

Asili

Kar

Matamshi

sharifu

/∫arifu/

Ufafanuzi msingi wa sharifu katika Kiswahili

: sharifu1sharifu2

sharifu2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

Asili

Kar

Matamshi

sharifu

/∫arifu/