Ufafanuzi msingi wa sharti katika Kiswahili

: sharti1sharti2sharti3

sharti1

nominoPlural sharti, Plural masharti

Kibaharia

Asili

Kar

Matamshi

sharti

/∫arti/

Ufafanuzi msingi wa sharti katika Kiswahili

: sharti1sharti2sharti3

sharti2

nominoPlural sharti, Plural masharti

 • 1

  jambo au kanuni ambayo ni lazima ifuatwe ili kupata matokeo yanayotarajiwa au kupatikana kitu kinachotakiwa.

  ‘Ukitaka kuingia katika mashindano haya ni lazima ufuate masharti yafuatayo’
  dikrii, jukumu, wajibu, faradhi, amri

Asili

Kar

Matamshi

sharti

/∫arti/

Ufafanuzi msingi wa sharti katika Kiswahili

: sharti1sharti2sharti3

sharti3 , shuruti

kielezi

 • 1

  bila ya kukosa.

  lazima

Asili

Kar

Matamshi

sharti

/∫arti/