Ufafanuzi wa sharubati katika Kiswahili

sharubati

nominoPlural sharubati

  • 1

    kinywaji kisicholevya kinachotengenezwa agh. kwa matunda au maziwa na kutiwa rangi na sukari.

Asili

Kar

Matamshi

sharubati

/∫arubati/