Ufafanuzi wa shashimamishi! katika Kiswahili

shashimamishi!

kiingizi

  • 1

    tamko lielezalo hali ya kudharaulika.

    ‘Ondoka hapa shashimamishi’

Asili

Kar

Matamshi

shashimamishi!

/∫a∫imami∫i/