Ufafanuzi wa shauku katika Kiswahili

shauku

nominoPlural shauku

  • 1

    hali ya kuwa na hamu ya kupata kitu au jambo; hali ya kuwa na tamaa kubwa ya kitu au jambo.

    ‘Nina shauku ya kuonana na wewe’
    mshawasha, tamaa

Asili

Kar

Matamshi

shauku

/∫awuku/